Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 10 | Umetazamwa mara 26
Download Nota Download MidiKiitikio
Bwana kama wewe ungehesabu maovu, ee Bwana nani angesimama?
Mashairi
1. Lakini kwako kuna msamaha ili wewe uogopwe, nimemngoja Bwana na neno lake nimelitumainia
2. Nafsi yangu inamngoja Bwana kuliko walinzi, naam kuliko walinzi, walinzi waingojavyo asubuhi