Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Albert Maneno
Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 60
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka C
Dondokeni enyi Mbingu toka juu, mawingu na yammwage mwenye haki, nchi ifunuke na kumtoa mwokozi. (Isaya 45:8)