Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki

Mtunzi: Geophrey Lulenga
> Mfahamu Zaidi Geophrey Lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Geophrey Lulenga

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Geophrey Lulenga

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 27

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EE BWANA WEWE NDIWE MWENYE HAKI

KIITIKIO:Ee Bwana wewe ndiwe mwenye haki na hukumu zako ni za Adili x 2.

MASHAIRI.

1.Kama zilivyo rehema zako,umtendee mtumishi wako.

2.Na amri zako amri zako,unifundishe unifundishe.

3.Mimi mtumishi mtumishi wako unifahamishe unifahamishe.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa