Mtunzi: Simon H. Mapua
> Mfahamu Zaidi Simon H. Mapua
> Tazama Nyimbo nyingine za Simon H. Mapua
Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 22
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 13 Mwaka A
- Katikati Kuzaliwa kwa Bwana (Mkesha)
Fadhili za Bwana nitaziimba milele, Fadhili za Bwana nitaziimba milele x 2.
Mashairi:
1. Ee Yerusalemu umsifu Bwana msifu Mungu wako Ee Sayuni.
2. Maana ameyakaza mapigo ya malango yako amewabariki wanao ndani yako.