Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 31
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka C
Kama watoto wachanga walio zaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa x ; 2 Ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu Aleluya X 2.
1. Mtukuzeni Mungu ndiye shime yetu, Mshangilieni Mungu wa Yakobo.
2. Paazeni sauti pigeni matari, Na kinanda chenye sauti nzuri na kinubi.
3. Pokeeni furaha ya Utukufu, Mshukuruni Mungu aliye waita kwa Ufalme wake mbinguni