Ingia / Jisajili

Mpeni Bwana Utukufu

Mtunzi: Massawe. A. F.
> Tazama Nyimbo nyingine za Massawe. A. F.

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Antusa Felix

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 30

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mpeni Bwana mpeni // x 2

Mpeni Bwana utukufu na nguvu // x 2

1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya mwimbieni nchi yote pia; Wahubirini mataifa habari za utukufu wake na za maajabu yake.

2. Kwa maana Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana na wa; kuhofiwa kuliko miungu ya watu, yeye ndiye alizifanya mbingu.

3. E jamaa za watu mpeni Bwana utukufu na  nguvu mpeni utukufu wa jina lake leteni sadaka katika nyua zake.

4. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu kisha tena tetemekeni mbele zake nchi yote semeni Mungu atahukumu watu kwa haki.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa