Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa

Mtunzi: Sylvester Ernest
> Mfahamu Zaidi Sylvester Ernest

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana | Pasaka

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 40

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Kupaa kwa Bwana

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu amepaa kwa sauti ya shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu. x 2

  1. Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe.
     
  2. Kwa kuwa Bwana aliye juu, ana ogofya ndiye mfalme mkuu juu ya nchi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa