Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 32
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka C
MUNGU YU KATIKA KAO- BY LUCAS MLINGI
Kiitikio; Mungu yu katika kao lake Takatifu, //Mungu huwa kalisha wapweke nyumbani yeye huwapa watu wake nguvu na uwezo x2
shairi, 1.Ee Mungu ulipotoka mbele ya watu wako ulipopita nyikani nchi ilitetemeka.
2.Ee Mungu ulinyesha mvua ya neema; urithi wako ulipochoka uliutia nguvu.