Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata
Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 28
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 28 Mwaka B
Utushibishe kwa fadhili zako tushibishe, Utushibishe ili tufurahi 2.
Mashairi:
1. Utujalie kuzihesabu siku zetu, tujupatie moyo wa hekima.
2. Ee Bwana urudi, urudi hata lini, uwahurumie watumishi wako.
3. Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako, nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote.
4. Utufurahishe kwa kadiri ya siku ulizo tutesa, kama miaka ile tuliyoona mabaya