Ingia / Jisajili

Nakukimbilia Wewe

Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Alfred Ogombo

Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 39

Download Nota (TZS 20) Download Midi
Maneno ya wimbo

Nakukimbilia Wewe tegemeo langu (ee Bwana) Mungu wangu unipokee uniponye mi’ m’dhambi

1.Ewe Mungu wangu kweli Bwana njia zangu hazipendezi – n’elekeze nizifuate njia zako

2.Sina’mani Bwana pakuenda sina mimi, dunia yote – ila Wewe pekee ndiwe msaada wangu

3.Nayo maisha yangu yote Bwana wayajua, siwezi ficha – kila kitu nitendalo kila saa

4.Shida zote zinazonikumba maishani, Bwana nikuitapo – uitikie z’kufikie dua zangu

5.Ninakulilia uzifute dhambi zangu, Bwana nisamehe -mzimekuwa kwangu mzigo n’ondolee

   Mi m’dhambi Bwana wangu niokoe x3


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa