Ingia / Jisajili

Sala Yangu

Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo

Umepakuliwa mara 25 | Umetazamwa mara 27

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:  (Sala yangu na ipae mbele yako kama Moshi wa ubani)X2

Mashairi: 1. Ee Bwana tunaomba ikupendeze sadaka Yetu

                  2. Twakuomba ipokee, ibariki na itakase

                  3. Twajitoa kwako baba na maisha yetu uyabariki


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa