Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Umehakikiwa na Kamati ya Uhakiki
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 36
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka C
Kiitikio: Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasighoshiwa X2
Mashairi: 1. Ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu Aleluya
2. Mtukuzeni Mungu ndiye shime yetu Mshangilieni Mungu wa Yakobo